Mahakama Kuu ya Kimataifa kwa sasa inasikiliza kesi inayohusisha madai dhidi ya Myanmar kuhusu mauaji ya Waislamu 10,000 wa Rohingya.